makamu wa rais DK.mohammed Ghalib Bilal akifatilia kwa umakini maelekezo ya mkurugenzi wa vitambulisho vya taifa Dickson maimu wakati alipo fika ofisini mwake ikulu jijini dar-es-salaam katikati ni ofisa habari wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa(NIDA) rose mdani.