Sunday, October 30, 2011

ROMA NDANI YA MIB.


Hii ni sehumu tu ya tukio zima lililokuwa likiendelea katika mbalamwezi beach collage bash ambapambo mtumzima Roma a.k.a mkatoliki anaonyesha uwezo wake wa kumiliki jukwaa na kuwa pagawisha mashabiki wake.